Unaombwa utembelee tovuti/ blogu hii na kuchangia mawazo yako mjadala wa wanablogu wa Bongo.
http://blogutanzania.blogspot.com/
Archive for October, 2007
Msomaji changia mawazo yako mjadala huu…
Posted in Uncategorized on October 8, 2007 | Leave a Comment »
Nikiwa na Andy Jones mtengezaji wa sinema ya Bi Kidude…
Posted in Uncategorized on October 8, 2007 | Leave a Comment »
Andy Jones aliyejitahidi kutuletea sinema ya maisha ya mwimbaji mkongwe wa Taarabu, visiwani Zanzibar, Bi Kidude. Sinema itatoka karibuni katika DVD na kuuzwa maduka mbalimbali duniani. Hapa niko naye Andy baada ya onyesho pekee lililofanywa ukumbi wa Tamthiliya la Waturuki, Arcola Theatre, mashariki ya London, Jumapili.
Wakazi wa London Washangilia sinema ya Bi Kidude…
Posted in Uncategorized on October 7, 2007 | 2 Comments »
Watazamaji waliojumuika kumuuliza Andy Jones maswali baada ya sinema ya Bi Kidude, London leo.
Si mara nyingi kusikia mazuri yakisemwa kuhusu Afrika huku nje. Wala si mara nyingi kusikia Taarabu ikipigwa kwa sauti kali. Hata katika klabu kubwa kubwa za Waafrika huisikii taarabu au ngoma za unyago na kuona mandhari ya Unguja vikipepea machoni. Lakini Jumapili [...]
Mwanamuziki Mzee kuzidi Wote Duniani Anatoka Bongo…
Posted in Uncategorized on October 3, 2007 | 2 Comments »
Bi. Kidude, mzawa wa Visiwani, Zanzibar, atachapukia tena London juma hili. Sinema mpya inayoelezea habari zake na muziki itaonyeshwa mjini hapa Jumapili ijayo katika tamasha la sinema za Kiafrika : “Africa Mine Music and Movement.”
“As Old as My Tongue” imetengenezwa na Mwingereza Andy Jones ; itashangiliwa katika ukumbi unaoheshimiwa wa Tamthiliya kaskazini-mashariki ya London, Arcola Theatre. Ni fahari kuu [...]