Ijumaa ijayo tarehe 30, Bendi ya Kitoto itatumbuiza kadamnasi katika holi kubwa la Hamersmith City Hall, Magharibi ya London. Sherehe hiyo iliyotayarishwa na Tukolene (www.tukolene.org) inatazamia kukusanya fedha kusaidia watoto wa Temeke,Tanzania.
Wataanzilishi wa Tukolene ni wanawake wawili wa Kiingereza, Katie Martin na mwenzake Phoebe. Wanasema waliamua kuanzisha kasr hii baada ya kuhusudu sana Tanzania ambapo wamekuwa [...]
Archive for November, 2007
Sherehe ya Kukusanya Fedha Kwa Watoto Tanzania 30 Novemba
Posted in Uncategorized, tagged Ben TV London, Dar es Salaam, Kitoto Band, Tanzania, Tukolene on November 25, 2007 | Leave a Comment »
Mjukuu wa Shaaban Robert Aendeleza Kiswahili London…
Posted in Uncategorized, tagged Amina Waziri Richards, London, Shaaban Robert, Swahili classes, Tanzania on November 25, 2007 | 2 Comments »
Mwanamke Shujaa kipindi hiki nani?
Posted in Uncategorized on November 18, 2007 | Leave a Comment »
Nawahusudu mashujaa, hasa kutoka Bongo. Nchi yetu inahitaji mashujaa. Inahitaji watu wenye roho nzuri, mawazo mapana na mioyo ya mawe. WATU WANAOJARIBU MAMBO. Nchi hii inayoliwa na kuhangaika hangaika. Lazima waandishi na wanahabari tuwape moyo mashujaa. Wengi hufanya mambo bila kutaka ushujaa. Wengi sana wala hawajulikani. Baadhi wala hawatakaa wajulikane. Ama kamsaidia mtu, ama katoa nafasi [...]