Feeds:
Posts
Comments

Archive for December, 2007

Jumapili tarehe 16 Desemba. Jioni.
 Wazalendo kumi na moja toka Afrika Mashariki walijitolea mhanga toka vitongoji kadhaa vya London kuchangia mawazo katika kikao kilichopitisha katiba ya Jumuiya yenye lengo la kusaidia maendeleo nyumbani. Jumuiya hiyo itakayoitwa East African Community Networking Association (EACNA) inategemewa kusajiliwa karibuni.  Mara ikishasajiliwa tovuti yake rasmi itatangazwa. Bado jumuiya inatafuta uanachama  wa Wabongo [...]

Read Full Post »

Jumapili tarehe 16 jioni mkutano wa wanakamati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki London ulifanyika kwa zaidi ya masaa Sita kuzungumzia katiba, usajili na kuangalia tovuti ya Jumuiya itakayokuwa hewani mara baada ya usajili. Mkutano huo uliofanyika eneo la Mitchum, kusini ya jiji, ulimchagua bwana John Bunyeshuli, mwanzilishi wake, kutoka Rwanda kama mwenyekiti.  Ulichagua pia wajumbe mbalimbali wa wadhifa kadhaa (tazama [...]

Read Full Post »

Nimepokea simu. Simu ya maana. Adam Shafi yuko Majuu. Kaja kikazi Uholanzi. Yeye mtaalamu wa lugha ya Kiswahili. Baada ya kumaliza kapitia Uingereza katika mji mmoja wenye wakazi wengi wa Kitanzania, yaani Milton Keynes. Ni wastani wa saa moja kwa treni toka London.  Mrefu, mchangamfu, mzungumzaji aliyesheheni “mastore” kibao. Nishakutana na waandishi wa kila sampuli. Wanaojificha: [...]

Read Full Post »

Mwaka 2002.
Katie Martin akiwa bado mwanafunzi wa miaka 18; akifundisha Kiingereza , Tukolene, Chang’ombe. Miaka mitano baadaye ndiye aliyebunia suala la kutafuta fedha za kuwaendeleza vijana hawa . Sherehe ya  Ijumaa Novemba 30, katika ukumbi wa Hammersmith Town Hall, London, ilikuwa jitihada zake na mwenzake, Phoebe Bryant, aliyempiga picha hii.
Nilipowauliza kama wanaamini misaada ya [...]

Read Full Post »

 
Kina dada wa shirika la fadhila la Kiota na Marafiki wa Tukolene wakiwa jukwaani wakati wa tafrija London, Novemba 30, iliyomudu kupata paundi 14,000 kusaidia maendeleo Afrika. Toka kushoto Vikki Ommanney, Phoebe Bryant, Katie Martin, Nicki Sumner, Pippa Brown, Ericka Hicks aliyekatwa katika picha haonekani. (Picha na Lewis Hicks) 

Wanafunzi wa Kituo cha Vijana Tukolene, Chang’ombe ambao watafaidika [...]

Read Full Post »

Sherehe ya usiku wa Ijumaa tarehe 30 Novemba hapa London ilikusanya pesa nyingi tu kwa watoto wa Tukolene, Chang’ombe. Sherehe hiyo iliyofanyika ukumbi wa Hammersmith Town Hall, magharibi ya jiji hili kubwa, ilitayarishwa na wafadhili wa Kiota (http://www.kiota.org) na dada wawili wa Kiingereza wanaoihusudu sana Bongo, yaani Phoebe Bryant na Katie Martin. Wamenieleza leo kuwa karamu ilikusanya paundi [...]

Read Full Post »