Wabongo sio?
Tunasifika watu wa amani.
Miaka zaidi ya arobaini sisi tumekuwa ahueni ya majirani zetu (wakimbizi) wenye vita, tafrani, maafa na majanga. Lakini je kuwa mtu wa amani ina maana usijipende? Mbongo jipende ndugu yangu. Balozi wetu mmoja kapigwa na majambazi kule Bondeni. Watanzania wawili wakauawa Marekani mwaka juzi. Wiki iliyopita waandishi wawili wa habari wakapigwa mapanga na kumwagiwa [...]
Archive for January, 2008
JIPENDE MBONGO: CHEKI MAPIGANO MBALIMBALI YA KUJITETEA (MASHO ATI)
Posted in Uncategorized, tagged Afya, Kujijua, Kujilinda, Kujipenda, Martial Arts, Tanzania on January 12, 2008 | 6 Comments »
BLOGU ZENYE MAMBO MAPYA ZAIDI ZINATAKIWA…
Posted in Uncategorized, tagged Blogging, Bob Sankofa, Podcasting, Tanzania on January 8, 2008 | 2 Comments »
Kheri za mwaka mpya wa 2008.
Miaka si lolote kwangu; bali nini tunafanya hasa cha kimaendeleo.
Kabla ya kuendelea tutoe shutuma kali kwa majambazi (ingawa hawa si tu majambazi ni zaidi ya majambazi) waliowapiga waandishi wa habari wa gazeti la Mwana-Halisi, Saed Kubenea na Ndimara Tegambwage, mwisho mwa wiki jana. Hiki ni kitendo butu kinachostahili kupingwa vikali [...]