Mapigano ya Kirusi yanazidi kuja na mpya. Kwa miaka mingi masho ati za Mashariki ya Mbali (China, Japan nk) zimekua zikificha na kutuzengua na ujuzi wao. Hatukujua ziko nyingine. Masho Ati ya Kirusi karibuni imetoa video ya mmoja wa waalimu wao Vlad Gaevskiy akionyesha namna ya kumtoa mtu bila kutumia nguvu yeyote. Hebu tazama…
[...]
Archive for March, 2008
Wapenzi wa Masho Ati
Posted in Uncategorized, tagged Beyond physical, Kujitetea, Martial Arts, Physical, Russian, Self defense, Urusi on March 24, 2008 | 2 Comments »
YOU TUBE ITAKUWA RUNINGA KARIBUNI…
Posted in Uncategorized on March 6, 2008 | Leave a Comment »
Vyombo vya habari vinazidi kuhaha. Blogu zinazidi kukua. Sijui wangapi mmesikia habari mpya za You Tube. Karibuni itageuzwa runinga rasmi. Ina maana blogu hizi tunazo andika na kushughulika kama mdomo wa watu wa kawaida zinaendelea kuwaka moto. Takwimu zilizotolewa na gazeti la “Observer” Uingereza wiki jana zasema YouTube inazo takribani video milioni 73 zinazotazamwa na mamilioni ya watu [...]