Mapigano ya Kirusi yanazidi kuja na mpya. Kwa miaka mingi masho ati za Mashariki ya Mbali (China, Japan nk) zimekua zikificha na kutuzengua na ujuzi wao. Hatukujua ziko nyingine. Masho Ati ya Kirusi karibuni imetoa video ya mmoja wa waalimu wao Vlad Gaevskiy akionyesha namna ya kumtoa mtu bila kutumia nguvu yeyote. Hebu tazama…
Mwalimu ameifanya ionekane rahisi mpaka nikatishika.Kujua kujitetea muhimu kweli, na maadui wanazidi karibu kila kona.
Woow, asante kwa kupost hii maana imeeleza vizuri,na especially kwa akina dada. Thanks