Mbio za Marathon zimekuwepo miaka mia moja sasa. Zilianzishwa na hawa hawa Waingereza walioweka idadi yake kuwa Maili 26 na yadi 385 mwaka 1908. Dunia nzima imechukua riadha hii na kuibadili kuwa kilometa lakini Waingereza bado hawajakubali mfumo wa metriki. Lakini pamoja na hayo mbio za Marathon za London zinasemekana kuwa bora na za kusisimua [...]
Archive for April, 2008
MBIO ZA MARATHON LONDON 2008…
Posted in Uncategorized, tagged Arusha, East Africa, Green Force, Health, London, London Marathon, Maasai, People, Recreation, Riadha, Sport, Sundays, Tanzania, Watu on April 18, 2008 | 3 Comments »