Comments on: MBIO ZA MARATHON LONDON 2008…

By: luhaja
kaka habari,naomba utueleze kuhusu freemasons!Hawa jamaa wako vp?Pia ninawezaje kupata kitabu chako cha TWENDE ZETU ULAYA?

By: kitoto
Simon,

Swali zuri.

Zuri kwa vile wengi duniani tunatumia lugha ya Kiingereza na maneno kama “miles” bado ni sehemu mahsusi ya msamiati wake. Ingawa Kiingereza ni lugha inayokubalika na kutumika bila wasiwasi, historia yake ni ya ukoloni na utawala wa maguvu. Tumelazimishwa kuitumia. Kwa hiyo bado kuna mabaki mabaki ya haya maradhi, na hawa jamaa bado “wanalo hilo” jihisia.

Hapa  Uingereza miaka mingi sasa umekuwepo ubishi mkubwa kati ya wanaopenda metriki na wasiopenda. Ingawa vyombo vya habari mara nyingi hutumia metriki, bado pia hapo hapo hutumia mfumo wa zamani kama unavyoona wakati wa mbio za marathon majuzi.

Waingereza wana ukaidi fulani kuhusu jadi na desturi na hupenda sana kutetea masuala yote ya kale. Mathalani kuhusu utawala wa mfalme na malkia utaona bado upo. Hapo hapo kuna ambao hawautaki.

Ukija miji kama London utaona mazingira na mandhari nyingi za kikale kama barabara nyembamba, majumba na kadhalika.

Kuna halafu, hili suala la kujiunga na shirikisho la Ulaya. Waingereza wengi bado hawapendi na ni kama wanataka kujitenga. Ukinzano uko kila mahali. Hapo hapo unaonyesha demokrasia ya Kizungu ilivyo hai. Ni kama kwetu Bongo kuna wanaotaka muungano na visiwani na wasiotaka ( hasa Waunguja wenyewe); wanaotaka Jumuiya ya Afrika na Mashariki na wasioutaka shauri ya sababu zao mbalimbali.

By: Simon Kitururu
Picha nzuri sana Kaka Freddy!

Hivi sababu kubwa ya Uingereza kukataa mfumo wa metriki ni ubishi tu au ni nini?