Kila siku Wabongo mbalimbali wanaingia mitamboni. Lakini waandishi wa kizazi cha kale, cha kijadi, wataalamu waliotopea katika kalamu, fasihi, mawazo na falsafa, ni wachache wanaojivuta na Mablogu. Mmoja wa Wataalamu na Wasomi wa Tanzania wanaofundisha na wanaostahili kusikilizwa ni Ndugu Joseph Mbele anayefundisha katika vyuo mbalimbali vya Marekani. Ninamfahamu na kumsoma Joseph Mbele toka akisoma Chuo [...]
Archive for August, 2008
Tumkaribishe, Tumkilize Mwanataaluma Aliyekomaa : Joseph Mbele
Posted in Uncategorized, tagged Fasihi, Marekani, Mbele, Mbeya, Tanzania, Utaalamu, Wasomi on August 29, 2008 | Leave a Comment »
DADA ALIYEONEWA NA WADOSI LONDON ASHINDA KESI…(lakini)
Posted in Uncategorized, tagged Domestic workers, Haki, Radhia Msuya, Sheria, Swahili women, Tanzania, TAWA- Tanzania Women Association-London, Truth, Ubalozi Tanzania London, Ukombozi, Ukweli, WA, Wafanyakazi, Wahindi Afrika Mashariki, Wanawake, Women on August 14, 2008 | 4 Comments »
Mariam ( wa chama cha Akina mama Tanzania London- TAWA) ; Elizabeth Kawogo (ambaye hakutaka sura yake ionyeshwe) na mshikaji wenu; tukiwa pamoja jana London. (Picha imepigwa na dadake Mariam).
Kisa cha kusikitisha na kuudhi sana.
Katika karne hii ambayo tunaambiwa Watanzania tuko huru toka mwaka 1961…bado kuna utumwa. Ilianzia mwaka 2004 Elizabeth Kawogo akifanya kazi ya usafi kwa Mhindi [...]
…KUKATISHA VIUNO
Posted in Uncategorized, tagged Culture, Dance, Gyrate, Styles, Utamaduni, Viuno, Women on August 4, 2008 | 8 Comments »
Zamani nikidhani sisi wamatumbi ndiyo mabingwa wa kukatika viuno. Lakini miaka inavyokwenda ndivyo nazidi kuona baadhi ya tabia na desturi nyingi zetu zikidakwa, zikiigwa na wenzetu wa mataifa mengine. Kumbe pia si tu kuigana, tamaduni nyingine pia zina mikatiko. Kifupi, kuna viuno aina nyingi.
Ipo chakacha, ambayo asilia ni ngoma ya mama mzazi kurekebisha tumbo la uzazi, kutoa unene, halafu kuna [...]