Feeds:
Posts
Comments

Archive for September, 2008

 
Sinema mpya ya Bongoland -2 iliyotengenezwa na Kibira Films imefananishwa na kazi za marehemu Sembene Ousmane(pichani juu). Je wangapi wanamkumbuka mzee huyu aliyefariki mwaka jana akiwa na miaka 84? Nikiwa shule sekondari tulimsoma. Aliheshimika kama mwandishi aliyetukuza maslahi ya wachapakazi, makuli, wavuvi, wafanya kazi na wakulima. Alipinga ukoloni, ingawa alishapigana vita vikuu vya pili, kama [...]

Read Full Post »