Feeds:
Posts
Comments

Archive for October, 2008

Tuko mwezi Oktoba; miaka tisa toka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotutoka Alhamisi asubuhi, 14 Oktoba 1999. Alifariki baada ya maradhi ya saratani ya damu (leukemia) hospitali ya St Thomas, London. Ibada ya kwanza ilifanywa kanisa la Westminster Cathedral na kuhudhuriwa na mamia ya watu wa kila taifa, rangi na kabila. Nakumbuka wakili mmoja [...]

Read Full Post »