Mwezi Novemba mwaka huu ulikuwa wa kheri na baraka kwa jina la Tanzania nchi za nje. Badala ya mabaya kuongelewa (mathalani mauaji ya Ma-albino) au mazuri (Amani ukilinganisha na Waafrika wenzetu) kutoongelewa; tukaWIKA KIJOGOO. Kidesturi, kihistoria na kifani, Tanzania haitangazwi ughaibuni; kwa walioshasafiri safiri mnafahamu (na kujionea) vipi bado wanatuita Tasmania au Kenya; hatujulikani.
Kwa siku nne lakini ; [...]
Archive for November, 2008
TANZANIA ILIVYOTINGISHA MAONYESHO YA KIMATAIFA UTALII NA SAFARI, Excel London Novemba 2008…
Posted in Uncategorized, tagged International relations, Mahusiano Jamii, Marketing, Tanzania, Tourism, Utalii, World Trade on November 28, 2008 | 8 Comments »