“ELIMU HAINA MWISHO…”
Methali ya Kiswahili
Nchi yetu ina utata.
Mheshimiwa Rais kachorwa vibaya mitandaoni; miezi kadhaa iliyopita akazomewa ilhali kachaguliwa kwa asilimia 80 ya kura; Rais wa zamani, bwana Mwinyi akapigwa kofi hadharani; ajali za mabasi zimezidi,uvutaji bangi (hasa miongoni mwa vijana) umefikia asilimia 90 sehemu fulani fulani; viongozi mafisadi mahakamani; utovu wa nidhamu unaiandama nchi [...]
Archive for April, 2009
MJUE MHAMASISHAJI- Innocent Swai na jarida la LUCKY
Posted in Uncategorized, tagged Dar es Salaam, Education, Elimu, Innocent Swai, Kiswahili, Lucky magazine, Maendeleo, Tanzania on April 30, 2009 | 2 Comments »
RUNINGA YA WAAFRIKA YAAMKA LONDON…
Posted in Uncategorized, tagged Africans, Africans in London TV, AiLTV, Joseph O Adamson, Television, Uingereza, Waafrika on April 25, 2009 | 3 Comments »
JJ Otieno akiwa kazini Brixton, London, 2007 (picha na F. Macha)
Kwa miaka lukuki Waafrika tumeonyeshwa ovyo ovyo sana katika runinga na vyombo vya habari duniani. Mtazamo ulioenea ni kuwa tunakufa njaa, tunapigana wenyewe kwa wenyewe na taswira iliyozoeleka ni ya watoto wenye mainzi machoni, wanawake wenye matiti yaliyoanguka wanaobeba magunia, kina baba wanaotembea miguu mitupu, majeshi na [...]
JE UNAPENDA BIASHARA NA MAENDELEO?
Posted in Uncategorized, tagged Birmingham, Dr. Imani Silver Kyaruzi, East African Economy, Education, Elimu, Fasihi Kiswahili, Kiswahili, Maendeleo, Tanzania, Uchumi, Ujasiriamali on April 17, 2009 | 1 Comment »
MAHOJIANO NA DK. IMANI KYARUZI- Mwandishi wa “Mbinu za Ujasiriamali”
Dk Imani Kyaruzi akiwa na bi. Susan Mzee, katibu wa Chama cha Watanzania Uingereza, katika uzinduzi wa kitabu, Birmingham, Oktoba 2008
Mwaka jana mmoja wa wataalamu na wasomi wetu anayeishi Uingereza Dk. Imani Silver Kyaruzi alitoa kitabu moto moto “Mbinu za Ujasiriamali” kitakachosaidia sana uchumi [...]