Feeds:
Posts
Comments

Archive for May, 2009

Karibu  ndani; karibu chakula….sikiliza  moja ya nyimbo zangu penzi unaoongelea  namna mbalimbali za Uhuru; … na jinsi Uhuru ulivyo muhimu kuliko kitu kingine chochote duniani.
Niliutunga mwaka 1980 wakati  bado naishi “geto” moja pale Mwananyamala Kisiwani, Dar es Salaam.  Usiku nilioupika sikulala kutokana na kilio cha mwanamke aliyekuwa akikandikwa makonde,  mateke, matusi na mumewe aliyemkuta kaomba Sabuni toka kwa jirani sababu [...]

Read Full Post »