Feeds:
Posts
Comments

Archive for June, 2009

Jamii zetu zinazoendelea zinahitaji sana Elimu.  Elimu itakayotusaidia kupambana na maadui kama : kutojua kupanga muda (Time Management) tatizo linalotufanya tuchelewe, tusiwe na mpangilio wa maisha ; halafu, kutoyajali mazingira yetu (vyoo vichafu na kutupa taka ovyo).Wataalamu wameshatuonya kuwa makaratasi ya plastiki tunayoyaacha kiholela kila mahali (yenye madawa hatari) yanaharibu rutuba na uhai ; yatakaa ardhini miaka 500 !!!

Si [...]

Read Full Post »

Zoezi maalum la kusaidia mabega kutokana na kazi mbalimbali zinazoathiri migongo, shingo na kichwa. Kuning’iniza bega moja ukizungusha mkono pande zote, huku mkono mwingine umeshika kiti au meza. 
Semina zilitayarishwa na jarida la LUCKY linaloendeshwa kwa ushirikiano wa wananchi wanaojitolea mhanga kuelemisha na kuendeleza jamii ya Tanzania.  Waliosimamia kazi hii ni Innocent Swai na mhariri wake [...]

Read Full Post »

Karibuni nimeingia tena Bongo baada ya miaka miwili. Ama kweli kwa tunaoishi ughaibuni kurudi nyumbani ni kama kwenda hospitali. Kabla ya tiba lakini, shurti  kuujua ugonjwa.

Tiba ya kwanza utani, masihara na vicheko.  Hapa tuko Nyumba ya Sanaa (iliyofunguliwa na Mwalimu Nyerere mwaka 1983); leo imegeuzwa Jumba La Kila Kitu : baa, kamari, michezo, hoteli, mahali pa watalii kununua vito vya Tanzania, makutano kwa [...]

Read Full Post »