Feeds:
Posts
Comments

Archive for August, 2009

Nasibu Mwanukuzi au anavyojulikana kwa jina la kisanii, Ras Nas…katoka na kibao ambacho pia ni  jina la Albam yake ya pili kinachoutukuza na kuughani mji wa  Dar es Salaam karibuni.
Moja ya magazeti  makubwa nchini humo: Dagsavisen liliipa albam hiyo nyota tano. Nyota tano si mchezo kwa mwanamuziki wa Kiafrika anayetumbuiza Uzunguni.
Niliwahi kufanya kazi na Nasibu Mwanukuzi [...]

Read Full Post »

JIANDIKISHE HARAKA….
Je wewe ni mwanablogu (Blogger) au mdau wa habari na mawasiliano kwa umma kwa kutumia mtandao? Kama jibu ni ndio, tafadhali unaombwa kujiorodhesha kwa ajili ya maandalizi ya Kongamano Maalumu la Kitaifa kwa ajili Wanablogu (Bloggers) na wadau wa habari na mawasiliano wa Tanzania (Tanzanians Bloggers Summit) linalotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu jijini Dar-es-salaam,Tanzania.
Dhumuni [...]

Read Full Post »