Tarehe 23 April, 2016…. ilitimia miaka 400 tangu gwiji wa fasihi, mashairi na tamthiliya, mwandishi maarufu wa Kiingereza, William Shakespeare alipofariki. Mwasisi wa taifa la Tanzania ,Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kutafsiri Kiswahili kazi mbili za Shakespeare :” Mabepari wa Venice” (Merchants of Venice) na “ Julius Kaizari” (Julius Caesar) … (more…)