Feeds:
Posts
Comments

Posts Tagged ‘The Russet London’

Ngoma za usiku wa kutafuta fedha kusaidia ujenzi wa nyumba ya wasichana wanaokimbia ukeketaji Tanzania.
Zilipigwa ukumbi wa The Russet, London ya Kaskazini, Mei 30 , 2014.

Advertisements

Read Full Post »

TANZANIA- FGM
Ijumaa tarehe 30 Mei, London.
Ukumbi wa hoteli iliyoko kitongoji cha Hackney, kaskazini ya London ulishuhudia usiku wa muziki, chakula na vinywaji.
the-russet-front

Kila aliyeingia hapa alifahamu alichokijia. Hakukuwa na hotuba wala kelele nyingi. Mabango yaliyopitishwa miezi kadhaa yaliibeba bendera ya Tanzania na wito wa “NYIMBO KWA DADA ZETU”…matangazo yalienezwa sehemu mbalimbali London na mtandaoni. Wapenzi wa Tanzania weupe kwa weusi waliitikia wito.
FGM flyer London 2014
(more…)

Read Full Post »